wadada wakitakiwa wawe wamesoma au wanafanya kazi ni taabu!

wadada wakitakiwa wawe wamesoma au wanafanya kazi ni taabu!

africansongs

Member
Joined
Jan 5, 2018
Posts
83
Reaction score
225
niliandika thread humu natafuta mdada aliyesoma na ana kazi ila mapovu yaliyowatoka watu si wa nchi hii.
kwahyo bongo wadada wanataka wawe magolikipa tu ama? hizi mentality bana, muwe mnabadilika basi maana wengine tunahitaji tuwe tunasaidiana kujenga uchumi wa familia vinginevyo kila mara itakuwa "baby uko wapi?", baby vocha, baby saloon, kila kitu kitaanza "baby...........". tubadilikeni jamani, kweli nahitaji mtu ila awe na kazi pia.
 
k

kweli mkuu hata kama hana ajira rasmi bt walau awe mjasilia mali (PHD) Permanent home dweller sio ishu, maisha kusaidiana maisha yenyewe yamebana haya...........
 
Hapo kwenye kujenga uchumi n kiashiria kuwa unatafuta back up na sio soulmate mtakaependana unconditionally.. Ndo maan walikutolea povuu mkuu
 
Huko mtaani kwenu hamna waaixhana walio soma mpk uje huku jf
 
Kumbe unataka kuoa ili utegemee pesa ya mkeo pia katika kuinua uchumi? Mshahara wa mwanamke ni kujinunulia mahitaji madogomadogo kama matunda na sio wa kupangia bajeti.
 
Lakini wao wakiweka tangazo lao lakujitafutia mwenza wa maisha wanakuwa kigezo cha kwanza ni mwanaume awe na elimu ya juu , kazi ya maana ,
 
Kuna watu hawana aibu kabisa, hivi unaanzaje kutafuta mwanamke kwa sifa ya kusoma na kuwa na kazi ???? Kama unaona huwezi kutunza basi ujue hujafikia hatua ya kuwa na mwenzi hvyo jipange kwanza.
Nyie ndio mnatusumbua unataka kuoa harusi ya mil 20 wakati una laki tano tuu. ukitaka ndoa idumu na uheshimiwe hakikisha humtegemei mwanamke kwa chochote yaan akitoa iwe kwa hiari yake tena mwambie alee watoto na utamlipa mwisho wa mwezi.
 
Back
Top Bottom