Wadada walizikataa Khanga, Leo zimekuwa fasheni

Wadada walizikataa Khanga, Leo zimekuwa fasheni

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,097
Naona siku hizi wadada wengi wanapenda kujifunga khanga, ili kuonyesha maumbo yao. Na wengi wanapovaa khanga ndani hawavai nguo yoyoye ili kuonyesha maumbile yao.

Hapa mtaani kwangu jamaa aliporudi saa 4 usiku nyumbani hakumkuta mkewe, mara akamwona anatokea kwa jirani kavaa khanga alipomkagua palepale nje akaona hajavaa hata nguo ya ndani, ndipo kipigo kikaanza hapohapo.

Na mimi nimewatangazia mke wa mtu ukipita uwanjani kwangu na khanga "nakupga pcha natuma mtandaoni" hiyo ndo roho ya kikahaba mwanamke toka asubuhi mpaka mchana una khanga moja alafu mke wa mtu? Au upo kwa she emeji yako? Khanga yako si uvae chumbani.

Ninaikemea hiyo adultery behavior kwa Jina la Yesu
 
Baba mchungaji sema nakondoo wako na si kuwaacha waangamie
 
Kuna wale wengine kwenye kumbi za starehe wanaitwa kanga moko laki si pesa. Hawavai nguo ya ndani halafu wanacheza huku kanga ikitoswa na pombe ndembendembe
 
Kuna wale wengine kwenye kumbi za starehe wanaitwa kanga moko laki si pesa. Hawavai nguo ya ndani halafu wanacheza huku kanga ikitoswa na pombe ndembendembe
Hivi hawa bado wapo??
 
Naona cku izi wadada wengi wanapenda kujifunga khanga, ili kuonyesha maumbo yao.
Na wengi wanapovaa khanga ndani hawavai nguo yoyoye ili kuonyesha maumbile yao.
Hapa mtaani kwangu jamaa aliporudi saa4 ucku nymbn hakumkuta mkewe, Mara akamwona anatokea kwa jirani kavaa khanga alipomkagua palepale nje akaona hajavaa hata nguo ya ndani, ndipo kipigo kikaanza hapohapo.

Na mm nimewatangazia mke WA MTU ukipita uwanjani kwangu na khanga """nakupga pcha natuma mtandaoni""""

Iyo ndo roho ya kikahaba mwanamke toka asubuh mpk mchana una khanga moja alafu mke WA MTU????? Au upo kwa she emeji yako????
Khanga yako c uvae CHumbani.
Ninaikemea iyo adultery behavior kwa Jina la Yesu
TUPIA KA PICHA TUONE HIZO KANGA ZINAVYOKAA
 
Weka na support ya kapicha basi!!

TUPIA KA PICHA TUONE HIZO KANGA ZINAVYOKAA
1475572836426.jpg
 
Back
Top Bottom