Mwinjilist mtume nabii JF-Expert Member Joined Feb 21, 2015 Posts 2,437 Reaction score 1,097 Oct 4, 2016 Thread starter #21 Ni tabia mbaya sana na ni upungufu WA heshima
M menimeni New Member Joined Sep 29, 2016 Posts 2 Reaction score 0 Oct 5, 2016 #22 Hiyo Kali ya Siku hizi
M menimeni New Member Joined Sep 29, 2016 Posts 2 Reaction score 0 Oct 5, 2016 #23 Shetani anawatumia sana wanawake na wasichana kuwateka wanaume na wavulana katika kujihusisha sana na maswala ya ngono.kweli dunia IPO mteremkoni na breki zake zimefyatuka,kila MTU ajiangalie alivojishikilia asiangukie pabaya.
Shetani anawatumia sana wanawake na wasichana kuwateka wanaume na wavulana katika kujihusisha sana na maswala ya ngono.kweli dunia IPO mteremkoni na breki zake zimefyatuka,kila MTU ajiangalie alivojishikilia asiangukie pabaya.