Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Kuna mchungaji anajiita Rose shaboka.
Nadhani Kuna mahubiri yake ya hivi Karibuni amekuwa akihamasisha wanawake waendelee kuwa singo na wala wasiwe na haraka ya kukimbilia ndoa...
Nadhani Kuna mahubiri yake ya hivi Karibuni amekuwa akihamasisha wanawake waendelee kuwa singo na wala wasiwe na haraka ya kukimbilia ndoa.
Kwanza ndoa yake imekuwa ya migogoro sana mara zote mume wake amekuwa mtu wa kumpiga matukio ila akiwa madhabahuni kama hakuna kinachoendelea.
Anapenda Ufeminist.Yule dada yuko kama Fatuma karume
Yeye mbona hajachelewa.Kasema usikurupuke Bora uchelewe
Kuolewa sio dhambi Wala kuwa single sio dhambiAlianza Joyce Kiria kuwadanganya wanawake kuwa ndoa sio lazima, usingle mother unatosha, alipopata dume jipya akaolewa tena na kuwaacha solemba wafuasi wake.
Wanawake wengi ni wajinga, wanapenda kufarijiwa hata kwenye ujinga, ukishawasoma jinsi walivyo wajinga basi utawapiga pesa mpaka basi.
Mipango ya MunguYeye mbona hajachelewa.
Ndo kuwalazimisba wengine wasiolewe.Mipango ya Mungu
mimi yule kiria namwitaga ni shetani yezebeli kabisa, kwanza kitendo cha kukiri kwamba aliishi na yule dj miaka 8 akimbania asimzalie watoto, na kwamba aliolewa naye baada ya kupata shida ya kipesa hivyo hakumpenda ila alifuata pesa, na alipomsumbua sana akamaua kuachana naye kwa kukodi magari toka magomeni kuelekea kinondoni kuchukua talaka, nilimwona shetani kabisa. ameadanganya wanawake wengi sana, ila KIleo ndio hakuwa mjinga, alimzaba vibao na matukio juu. huyo zumbukuku ameokota UK ndio sijui naye ...., niishie hapo.Alianza Joyce Kiria kuwadanganya wanawake kuwa ndoa sio lazima, usingle mother unatosha, alipopata dume jipya akaolewa tena na kuwaacha solemba wafuasi wake.
Wanawake wengi ni wajinga, wanapenda kufarijiwa hata kwenye ujinga, ukishawasoma jinsi walivyo wajinga basi utawapiga pesa mpaka basi.
Ana mamlaka Gani ya kuweza kumzuia MTU asioleweNdo kuwalazimisba wengine wasiolewe.