Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Sasa mfano hapo nimlaum nani mkuu?? ubold siuoni tena[emoji87]
Mkewangu akijua jinsia yangu inatosha..

Nimekushangaa sana na wewe 4G LTE kuwa na akili hizi.! Ni sawa sawa na mwanaume anayetaka kujua ukubwa wa maumbile ya mwanaume mwenzake, unabaki unajiuliza tu "huyu mtu 'mzima' kweli"??
 
Hapana mkuu,kuna taarifa kuwa DinaZ ni dume la nguvu wala siyo jike kama tulivyokuwa tunatarajia sasa nataka nijue tu status ya dushe lake![emoji30]
Ha ha haa hebu jitolee kwa uchunguzi wa kina
 
loohhh...acha usanii weye dogo
huoni waandika kwa kutumia alama?[emoji15]

husikii kwa hiyo s majanga hayo[emoji57] [emoji57]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji28] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Ndiyo may be mi ni dogo, lakini ujue sku zite dogo mwenye nia huwa ni mkubwa huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…