Wadada/wanawake msijidanganye kwa hili

Sorry to say this but ni mindset ya kimaskini.

Tubakini kwenye roles zetu sababu role ya mwanaume ni provider ila iko hivi mwanaume ambae hajaku feel hawezi kuku provide fully. Hapo atakuhudumia only as far as anakutumia. Not enough for you but enough to keep you dependent on him for as long as he wants you.

Ukiona unamchuna mwanamme usijione mjanja. He can see through you very clearly. He is just using you.
 
Ushauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?

Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
Kwa hiyo wewe unatoa bureee.
Nakujitunza unajitunza.
Haya
 
Kwahiyo kwa walioolewa nahawatunzwi waliforce ndoa
 
Usuguaji utamwokoa,hujui kusugua na matumiz ya kiwango cha juu utatoa tu.IVUNJIKIE NDANI UNIZIBE DOMO!!!
 
Hiyo ndio 50/50...tusaidiane majukumu....kwenye ajira kwa sasa wanawake mnapewa kipaumbele saaana..unalipwa millioni mimi nalipwa laki mbili..unataka nifanyeje sasa?,changia nusu mamaa
 
Eti mwanaume mpe majukumu, huu upuuzi aliekupandikizia kakupoteza. Majukumu yetu tunayajua vyema.

Mwanaume ndiye kiumbe ambae kama hakupendi atakundanganyia pesa zake ili usipate muda wa kujiuliza kama anakupenda au lah!!. Na akishajua humfai pesa ataendelea kukupa ili akutumie kukidhi haja zake huku akiendelea pia kumjali anaempenda kwa dhati.

Na kwa akili hizi mtaendelea kupelekewa moto tu kwa vijisenti vya kawaida alafu ukijastuka muda umekuacha, Mwili umechoka, na unasifa mbaya. Ukishafika hapo huna budi kuvizia waume za watu tu.
 
Hiyo ndio 50/50...tusaidiane majukumu....kwenye ajira kwa sasa wanawake mnapewa kipaumbele saaana..unalipwa millioni mimi nalipwa laki mbili..unataka nifanyeje sasa?,changia nusu mamaa
Kama hiyo 50/50 mmekubali mbona na kazi za ndani kama kupika, kuosha vyombo, kufua na kusafisha nyumba hamzifanyi sasa [emoji848][emoji848]
 
Na kwanini uwe na mwanamke ambaye humpendi mzee si ubaki na huyo unayempenda kwa dhati [emoji2369][emoji2369]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…