Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
-
- #61
Nimekaa sana kuwavumilia halafu mwisho wa siku wanaenda kwa mwanadada hata hana hadhi anapewa zile jasho zangu seriously??Dada unachukia wanaume? Unique Flower
Mtuombe pesa jamani ili tujitume ziadi ni haki yenu kikatiba kabisa, ila mtuombe mkiwa mmetulia sio kuhangaika na john, mara musa mara mohamedi... Mtulie nasi tufanye majukumu yetuHappy hurry Xmass to you all and I wish alot of love and happiness.
Narudi kwenye point wanawake msijidanganye kuwa eti kwa maana humuombi boyfriend/fiancee/mume pesa kisa wewe ni mwanamke wa shoka.
Ambaye unajitahidi kutafutia riziki nakujitunza mwenyewe so huna mpango wa kuomba hela kwa mhusika hiyo inaitwa UNAJIKOMBA NA WALA HATOJALI UNACHOFANYA.
Raha ya mwanaume kuchunwa, kuchunwa kupewa majukumu.
Sio unamlipia kodi, unamlisha, unamvisha watoto unawasomesha yeye anapeleka hela wapi??
Na asubuhi unavyomuandalia chai asubuhi anaenda kutafuta riziki ni yanani kwa sababu ipi.
Mwenzenu kafa kisa kujikomba alidhania kujituma hadi basi ndio zawadi kumbe hawara ndio kapewa nyumba na gari jipya.
Yeye kaachwa nyumba ya kupanga.
Ya udongoo.
My take acheni kujikomba mwanaume mpe majukumu ndio maana yupo duniani.
Anakuchafua/unamlisha/unamfulia/unampa hela kweli nyie akina dada shughuli ipo.
Mama yako yupo kijijini nguo ya ndani hana.
Huku mjini unahonga mpaka.
Na kuwanunulia wanaume simu mupiyaa.
Shauri yenu.
Mtakuja kulia .
Wanaume sio wakupewa vitu au wakusotewa eti ili uitwe mwanamke wa shoka wanaume hawajui umuhimu wa kitu yeye kilichombele yake.
Ndio saizi yake.
Good day.......
Mwanaume akipate mke mtulivu automatically nae anatulia kabisa hata tukitaka kufanya ujinga huwa nafsi inauma kimtindoUshauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?
Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
Nimekaa sana kuwavumilia halafu mwisho wa siku wanaenda kwa mwanadada hata hana hadhi anapewa zile jasho zangu seriously??
Kwanzia kipindi hicho unaonjeshwa pipi unachunwa
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]mi nilkuwa sijui kumbe kuna wenzetu wanafnya yote haya au unazungumzia wanawake matajiri kama Wakina Oprah au sisi kajamba Nani?Happy hurry Xmass to you all and I wish alot of love and happiness.
Narudi kwenye point wanawake msijidanganye kuwa eti kwa maana humuombi boyfriend/fiancee/mume pesa kisa wewe ni mwanamke wa shoka.
Ambaye unajitahidi kutafutia riziki nakujitunza mwenyewe so huna mpango wa kuomba hela kwa mhusika hiyo inaitwa UNAJIKOMBA NA WALA HATOJALI UNACHOFANYA.
Raha ya mwanaume kuchunwa, kuchunwa kupewa majukumu.
Sio unamlipia kodi, unamlisha, unamvisha watoto unawasomesha yeye anapeleka hela wapi??
Na asubuhi unavyomuandalia chai asubuhi anaenda kutafuta riziki ni yanani kwa sababu ipi.
Mwenzenu kafa kisa kujikomba alidhania kujituma hadi basi ndio zawadi kumbe hawara ndio kapewa nyumba na gari jipya.
Yeye kaachwa nyumba ya kupanga.
Ya udongoo.
My take acheni kujikomba mwanaume mpe majukumu ndio maana yupo duniani.
Anakuchafua/unamlisha/unamfulia/unampa hela kweli nyie akina dada shughuli ipo.
Mama yako yupo kijijini nguo ya ndani hana.
Huku mjini unahonga mpaka.
Na kuwanunulia wanaume simu mupiyaa.
Shauri yenu.
Mtakuja kulia .
Wanaume sio wakupewa vitu au wakusotewa eti ili uitwe mwanamke wa shoka wanaume hawajui umuhimu wa kitu yeye kilichombele yake.
Ndio saizi yake.
Good day.......
Maana yake hta akihonga huko ila na wewe unapata roho haita uma Sana[emoji28]Sa unampa kila kitu anabeba vyako anapeleka kwa mwanamke mwenzako[emoji26][emoji26][emoji26]Ushauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?
Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
Jidanganye mkuu ukiona hivyo jua hajaolewa akiolewa anabadili mahubiri..[emoji23]
Sure huwezi mchuna bae wa maisha yako hilo neno halijakaa sawa ktk uwakilishaji mume au mpnz wako atakupa hata bila kuomba akijua tu ww ni mwanamke unamahitaji yanayaohitaji pesa ila hata yy akikwama kumsaidia sio ujinga hayo ndo mahusiano ya matured pipo!!!Umeanza vizuri lakin hapo kwenye "raha ya mwanaume kuchunwa" hiyo ni nothing but pathetic excuse
Kazi ya mwanaume ni kumtunza mwanamke wake na familia lakin sio iwe kuchunwa. Kama una uwezo unasaidia baadhi ya mambo. Si kulalia kwa mwenzako kisa unajiona una right ya kuteketeza hela yake for no apparent reason. Labda kama hiyo pesa haina mipango na kazi.
Otherwise una influence udangaji. Sasa ww utakuwa na tofauti gani na wadangaji wa huko nje?
Hii ni mindset ya kimalaya. Haifai kwa wale wanaotaka kuolewa
Mwanamke omba omba dawa yake ni kumla tu....Happy hurry Xmass to you all and I wish alot of love and happiness.
Narudi kwenye point wanawake msijidanganye kuwa eti kwa maana humuombi boyfriend/fiancee/mume pesa kisa wewe ni mwanamke wa shoka.
Ambaye unajitahidi kutafutia riziki nakujitunza mwenyewe so huna mpango wa kuomba hela kwa mhusika hiyo inaitwa UNAJIKOMBA NA WALA HATOJALI UNACHOFANYA.
Raha ya mwanaume kuchunwa, kuchunwa kupewa majukumu.
Sio unamlipia kodi, unamlisha, unamvisha watoto unawasomesha yeye anapeleka hela wapi??
Na asubuhi unavyomuandalia chai asubuhi anaenda kutafuta riziki ni yanani kwa sababu ipi.
Mwenzenu kafa kisa kujikomba alidhania kujituma hadi basi ndio zawadi kumbe hawara ndio kapewa nyumba na gari jipya.
Yeye kaachwa nyumba ya kupanga.
Ya udongoo.
My take acheni kujikomba mwanaume mpe majukumu ndio maana yupo duniani.
Anakuchafua/unamlisha/unamfulia/unampa hela kweli nyie akina dada shughuli ipo.
Mama yako yupo kijijini nguo ya ndani hana.
Huku mjini unahonga mpaka.
Na kuwanunulia wanaume simu mupiyaa.
Shauri yenu.
Mtakuja kulia .
Wanaume sio wakupewa vitu au wakusotewa eti ili uitwe mwanamke wa shoka wanaume hawajui umuhimu wa kitu yeye kilichombele yake.
Ndio saizi yake.
Good day.......
You deserve the best we mdada siyo kama asilimia kubwa ya mbuzi waliopo humu ndani.Ushauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?
Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
100%Hizi ni sampuli zile za wanawake wa kuliwa mbususu na kupewa kifuta jasho alafu kila mtu anakula njia yake Hadi hapo Tena utakapo jisikia umekimisi kidubwasha chake Tena.
Kifupi you don't deserve marriage waachie wenzio hiyo nafasi
Kuchuna ni point moja,Nimekaa sana kuwavumilia halafu mwisho wa siku wanaenda kwa mwanadada hata hana hadhi anapewa zile jasho zangu seriously??
Kwanzia kipindi hicho unaonjeshwa pipi unachunwa
Una wivu wewe ka kaka, pua yako๐Jidanganye mkuu ukiona hivyo jua hajaolewa akiolewa anabadili mahubiri..๐
At least kuna watu mnaongea vitu vinajielewa. Siyo hizi mbuzi zingine.Sure huwezi mchuna bae wa maisha yako hilo neno halijakaa sawa ktk uwakilishaji mume au mpnz wako atakupa hata bila kuomba akijua tu ww ni mwanamke unamahitaji yanayaohitaji pesa ila hata yy akikwama kumsaidia sio ujinga hayo ndo mahusiano ya matured pipo!!!
Niwe na wivu wa kumwagiwa maji!!๐Una wivu wewe ka kaka, pua yako๐
Tabia mbaya hiyo na utanioa mwenyewe lione๐Niwe na wivu wa kumwagiwa maji!!๐
Nawe likisogo lako..๐
hao sio wateja wanatest mitambo tu, wateja wapo Badoo huko walipokimbilia wenzakoSasa sikia humu wapo sanaa mpaka inasikitisha wengi ni wanaume ndio maana najaribu kuwapa warning hawa watu ila wao wamekolezwa na malimbwata wala hawasiki au hawaoni
Sioagi wadada wenye makomwe mimi๐คฃTabia mbaya hiyo na utanioa mwenyewe lione๐