Wadada, wanawake na maduu kwanini picha za wapenzi wenu mpost mwisho wa mwezi?

Wadada, wanawake na maduu kwanini picha za wapenzi wenu mpost mwisho wa mwezi?

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu salaam sana,

Kwanini wanawake na maduu wengi kila ikikaribia mwisho wa mwezi ndio wao hupost picha za wapenzi wao?

Ina maana penzi hushamiri mwisho wa mwezi tu?
 
Back
Top Bottom