Kalaghabao Speedo,mambo yote siku hizi kwa kina mama ni kwenye Gym.Kwa sasa zimetapakaa jiji zima,ukipata muda kachungulie ndani uone mibaba (inaitwa instructors) waangalie misuli ilivyovimbiana (wenyewe kina mama wanaita six pack).Sasa wewe Speedo ,usafiri wako makalio(gari),ukitoka kazini breki ya kwanza Rose Garden ,ni mikuku,mibia,mimbuzi,mimchemsho,ukitoka hapo nyumbani hotpot sharti uonje vinginevyo asubuhi mama chanja hamutaelewana,kisha hapo tumbo hiloooo,tumikono hutwooooo,tumiguu hutwoooo,utashindana kweli na 'six pack'?. Na kwa taaifa yako Gym nyingi zina masseurs wa kiume,utajiju!
Unataka kununua au kununuliwa??Kuweka wazi zaidi:
Ni wapi mwanamke aliyepo mjini (eg Dar es Salaam) anaweza kuondoka (kwa usafiri wa aina yoyote ile) kwake na kuelekea sehemu kuchagua/kuchukua mwanaume bila appointment?
Kwa lugha nyingine:
Ni wapi mjini (km DSM) kuna wanaume wamejiandaa kuja kuchukuliwa na wanawake?
Je!!!!!!
Kama hakuna; Hatuoni kuwa kunahitajika kuwepo na maeneo hayo ili kuwasaidia wenye kuhitaji?
Nawasilisha
Unataka kununua au kununuliwa??
Speedo yako iko kwenye mauzo? tuanzie hapo kwanza
Hacha urongo usije fanya wame zetu watuzuie kwenda Gym buree.
Miaka kama 5 iliyopita nilitembelea hayo maduka hapo Uholanzi katika miji tofauti tofauti lakini sikuona wanaume wakijiuza mzee, mambo yanabadilika labda ufanye utafiti nini kinaendelea siku hizi mkuu.Nilisikia Uholanzi maduka ya ngono ni popular. What I don't know ni kama na wanaume wanajiuza. Ngoja nifanye research.