Wadada wasiovaa makufuli!

Hivi shekhe wakivaa wote sisi chabo tutapiga wapi kwenye nguo zao?
 
Mkuu kuna mmoja nilimuona Jana mtaani hakika nilidata kwa muda alikuwa namba nane huku akitikisa balaa nikawa namcheki kwa kuibia alivyogundua ndo akazidisha madenso!
Siyo siri wanatuumiza aisee watuhurumie!yule manzi lazima nitamtafuta tu japo sijui alikuwa wa wapi wakati mkaa wenyewe alinunua wa mafungu tu shilingi 500 na fulu za 1000 khaaaaa
Mtuhurumie mtatuua
 
hapana nimepanda gar linaonda siko ndo maana nimeomba msaada kituo kinachfata nfanye ustaarabu wa usafir wa kufika napoenda
Acha upweke sio mzuri kamata kimwana uondoe stress
 
Inaitwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…