britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Mwezi wa Kwanza Mwaka huu nilikutana na mdada maeneo wanapojiuza Waafrika Mara nyingi uwa najitambulisha Kama mkenya Kwa sababu wakenya wanajulikana zaidi hata ukisikika unabonga Kiswahili wanajua from Kenya!
Nikawa napita eneo fulani nikakutana Na mdada Sintha si jina lake halisi, akanisimamisha where are you from nikamwambia Kenya Akasema ooo mi Mtanzania basi tukajuana akajitambulisha lakin Maeneo yale alipokuwa kasimama ni maeneo ambayo nikawa naya Doubt ila kwa kuwa ni njia ya kwenda kwa Rafiki yangu Anthonio (Retired Pilot wa jeshi la Russia) nikasema wenda naye anapita kama mimi, nikaenda ni km kadhaa kwa usafiri alafu narudi namkuta pale pale ila kabadiri nguo ana nyingine and according to her ka graduate Mliman Sociology 2014 … na akasema yuko nchini hapa kwa kazi na Kampuni moja la UN ….
Sasa akanikaribisha kwa bar fulani hivi nikasema ngoja niingie shop kufanya jambo fulani narudi kakaa pale kwenye bar huku akiniangalia kwa mbali sana kama naondoka ila uzuri nikarudi nikakaa nikakuta ameshaagiza Pombe anakunywa, akasema nimeagiza kwakuwa nakusubiria sikuwa na hamu ya kunywa nikasema mi situmii pombe hivo kwaheri akasema samahani kaka hivi una ****450 sawa na 60$ hapo unilipie hivi vinywaji na chakula ? Nikasema mi natumia Card kama hapa anaruhusu nakulipia kwa njia ya ku swipe yule akawa hana system hiyo only cash, basi huyo dada akasema kwakuwa upo hapa mi kwangu si mbali ngoja nifuate pesa alivyoondoka kumbr hawamjui na kumjua….… NAENDELEA
Alivyoondoka akakaa sana ikapita nusu saa nami kazi natakiwa jioni night shift nikawaaga kwamba huyu atakuja kuwalipa mi simjui duh kumbe nilivyoenda dukani aliwaambia Niko na Mme wangu anakuja kwahiyo wakajua mi ndo nasimamia show! Wakasema usitutanie kala zaid ya 100$ hivo unapaswa kulipa nikasema tumsubiri tukasubiri basi ikabidi niende kwa ATM nichomoe Pesa niwape alafu Na mimi nikachukua Coca cola kupoza mabishano kooni, nikasema ipo siku ntamuona,
Nikawa napita Mitaa ile simuoni kila nikipita simuoni Basi nikaamua kupotezea .
Namba yangu alikuwa kachukua awali bila kunipa yake kwamba atanichek, imepita miezi kadhaa naona namba ngeni inapiga kwenye Simu Yangu Kwamba Hallo Unamjua SINTA nikasema hapana wakaongea kwa Ukali kumbe walikuwa Askari wa hapa nchini ....... INAENDELEA
Askari akajitambulisha Kwamba Yeye Ni afisa Uhamiaji wa nchi hii wamemkamata SINTA KWA kosa la Ukahaba na kawapa namba kwamba Mimi Ni Kaka yake! Nami nikasema oooo yes nipe Simu niongee Naye! Akaniomba msahamaha akisema unajua alienda sijui ikawaje nikaenda kufika pale wakasema alipe faini almost 1000$ na Hana hata 100 Basi mi nikasema namsimamia alipe wakasema hawamuachii tulawasiliana na ndugu zake ambao anatuma pesa wamtunzie anapodanga wakawa pesa washatumia! Wakamtumia 370$ tu tukalipa hiyo wakamuachia sasa nikamuuliza unaishi wapi? Akanielekeza kwa kunikwepa nikambana akanipeleka ni mbali Na alipoluwa kanielekeza siku zile, kufika kwake kajiweka vizuri kidogo basi sikukaa sana nikaondoka,
PICHA LINAANZA SASA INAENDELEA
Akapajua kwangu akaanza mizengwe kanisababishia Matatizo
AKAOMBA KUPAJUA KWANGU KWAKUWA MKE WANGU ALIKUWA KWAO LITHUANIA
nikamuelekeza akaja mpaka kwangu kwa Tax alipofika tukakaa vema kwa story siku nzima nakumbuka ilikuwa jumamosi, alipofika tu kashaanza kudadisi yasiyo muhusu ila nikakausha tu, nikamweleza nimeona Na Mke wangu hayupo yuko kwao kwa Miezi miwili, basi akaona kapata pa kupumulia inafika jioni mategemeo aniambie naondoka haniagi nami natakiwa kwenda sehemu kwenye mkutano siwezi kumuacha ananiambia mi nitakuwa around Maana nilipotoka nyumbani kwangu sijaacha mazingira vizuri naomba niwe hapa kwa siku kama 3 , nikasita lakin kabla sijaichukua uamuzi wowote nikamkumbuka kuna Rafiki yangu wa kike karibu nikamwambia akasema aende kulala huko akaenda aiseeeee kwanza akakuta bia za watu kapiga zote kwa friji Anakunywa analewa vituko Anakunywa robo anafungua nyingine anatukana Mimi mtoto wa **** Ni Mkubwa huko Tz, yule rafiki yangu wakike akamrejesha kwangu Usiku nsharudi nasikia mtu anagonga kengere nikawafungulia aiseeeee, nikamuonesha chumba Cha kulala,
Sijakaa vema naona mtu ananifuata chumbani kwangu na underwear tu eti kule Hapataki kwanini nimemuweka kule, Akavua nguo
NAENDELEA...
Nikamfukuzia Mbali asiniletee ujinga asubuhi na mapema kaamka kashaenda kwa marafiki majirani zangu na kuwaaminisha mi mtu wake Jambo ambalo mpaka sasa limeigawa Sana Na kuleta mpasuko kwangu na Mke wangu Maana Taarifa zilimfikia Na akarudi akazikuta tena taarifa, Basi NIKAGUNDUA SITAKUJA KUMBEBA MTU KUMSAIDIA KWA CHOCHOTE!
Baadae Nikaona tena naitwa Na mamlaka baadhi kuhoji namjuaje huyo SINTA
Nikaeleza situation ilivyo nikaja kugundua pia anatumiwa na wanigeria kusambaza madawa ya Kulevya kwa waitaliano, nilishangaa sana,
kuisaidia kuwe na Kiasi ,
Kafungwa Jela SINTA muda huu
Britannica