Wadada wengi wanaouza mihogo mibichi mitaani wanatongozeka kirahisi sana

Huyu Mwamba unatupanga na hizi nyuzi zake
 
Reactions: THT
Angalia usije ukazaa mwanao wa kike naye akaishia kutafunwa na watu wenye nia ovu kama wewe,malipo mengine huwa ni hapahapa duniani...
 
Taifa Limeanza Kuwa Na Vijana Wa Hovyo.
 
We Mamaako anafanya biashara gani!? Kwani unafikiri ww ulipatikanaje!??
 
Umenikumbusha mama mmoja alikua anapita kutafuta kazi majumbani. Siku ntawakilisha kwa riki boy
 
Angalia usije ukazaa mwanao wa kike naye akaishia kutafunwa na watu wenye nia ovu kama wewe,malipo mengine huwa ni hapahapa duniani...
Mimi watoto wangu watakuwa geti kali sitaki upuuzi wa kupuyanga puyanga
 
Anatembeza mihogo ya mimea,
Analishwa mihogo ya nyama!

Sema nyuzi za mpwayungu village zina kautofauti na mvuto fulani hivi, maake nikiwa na scroll kwenye timeline nikakutana na ID ya Mpwayungu village huwa naweka simu pembeni kwanza kisha nacheka kwanza kupunguza motisha kisha naanza kusoma uzi sasa! Mwanzo wa uzi huwa ni burudani tosha [emoji23]

Mwisho wa uzi ukikuta kaambatanisha na kapicha ka ushahidi, unaweza cheka mpaka basi!
[emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wateja wengi wa mihogo na karanga ni watongozaji na wagegedaji wazuri.
 
Oya mbona ni kama vile unataka Kutuharibia 'Miteremko' yetu hiyo? Wakifukuzwa humo utatutafutia wa 'Kuwakaza' Mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…