Wadada wengi wanaouza mihogo mibichi mitaani wanatongozeka kirahisi sana

Mwamba unaonekana unapenda sana kamserereko
 
Mimi watoto wangu watakuwa geti kali sitaki upuuzi wa kupuyanga puyanga

Nan kakudanganya watoto wa geti hawaliwi tena akipata chance anakataa ata kurudi kwao[emoji23][emoji23][emoji23]
Wahuni wanapeleka moto tu[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Vijana tugutuke..Ngono sio dili tumrudie Mungu
 
Wanawake wajasiliamali wote wanauza,iwe mama ntilie,karanga,mihogo,juice,genge,wote wanauza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…