Wadada wenye kucha za bandia wanafanyaje kazi kwa mikono?

Wadada wenye kucha za bandia wanafanyaje kazi kwa mikono?

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
860
Reaction score
620
Wadau samahani sana,

Kuna mambo yananitatiza, wadada wanaoweka kucha bandia mikono yote miwili, uwa wanafuaje, kuogaje, kutawaza hapa watadai kuna toileti pepa na vipi papuu zinaogaje?

Naomba kuwasilisha.
 
Ngoja waje wenyewe watatupa uzoefu wao.
 
Kila siku wanatusumbua na U.T.I nataka kufanya research ya huu ugonjwa
 
Halafu huwezi kujua kwani wengine ni majini, shauri yako
cc4caeb3643e615edaa25be3d5937dd9.jpg
 
Sa wakikuelezea utaelewa kweli? Jaribu kubandika hata vidole viwili ujue inavokua
 
Back
Top Bottom