linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,724
- 4,381
[emoji3][emoji3][emoji28] Ndo kusema hakuna mwanamke JF mwenye gari? Tuombe radhi mkuuWahusika wa mada yako humu hawapo KABISA
😂😂😂😂 Wote mnayo lakin hamuachi mapaja nje.[emoji3][emoji3][emoji28] Ndo kusema hakuna mwanamke jf mwenye gari? Tuombe radhi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mkuu? Ni utafiti usio rasmiWewe c mtafiti, wewe ni baharia.
Naomba lift mpenzi[emoji3][emoji3][emoji28] Ndo kusema hakuna mwanamke jf mwenye gari? Tuombe radhi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe utuombe radhi kwa kututengua udhu 😀 😀 😀[emoji3][emoji3][emoji28] Ndo kusema hakuna mwanamke jf mwenye gari? Tuombe radhi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo hapo sawa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wote mnayo lakin hamuachi mapaja nje.
Ina maana wanakuwa hawajavaa sidiria wanapoendesha magari?Mimi napenda mapaja yao yanavyokua meupe na guu unakuta lipo...ni burudani sana kwa mabaharia kutazama, shida unakuta tu kifuani ni ndalaa[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetenguaje?Na wewe utuombe radhi kwa kututengua udhu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umehamia kwenye Noah sio?
Hujui kuwa nikikukuta unaendesha kwa style aliyosema mzee baba, mwenzio akili zinahamia chini?