Tunafanyaga makusudi. Tunapenda muone vitu vzr sijui hata mnalalamika niniHujui kuwa nikikukuta unaendesha kwa style aliyosema mzee baba, mwenzio akili zinahamia chini?
Vitu vitamu havijawahi kumuacha mtu salama. Ukiona mtu kaoza meno ujue kala pipi. Unaweza ukajikuta unalipia full tank huku we gari huna π π πTunafanyaga makusudi. Tunapenda muone vitu vzr sijui hata mnalalamika nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaama jama...!Nimekusaidia kuweka picha[emoji1787][emoji1787]View attachment 1328508
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo raha yenyewe hiyo atiVitu vitamu havijawahi kumuacha mtu salama. Ukiona mtu kaoza meno ujue kala pipi. Unaweza ukajikuta unalipia full tank huku we gari huna π π π
Kuwa na matiti yamelala kwani ni ulemavu? Wengine ni maumbile na wengine tumenyonyesha watoto watatu unadhani yataendelea kusimama? As long as kayahifadhi vzr sioni tatizo
Duh kweli hii ni hatari, wanaume tutaenda mbingu Mungu atusaidieNimekusaidia kuweka picha[emoji1787][emoji1787]View attachment 1328508
Sent using Jamii Forums mobile app
π πππNa wewe utuombe radhi kwa kututengua udhu π π π
π πππNa wewe utuombe radhi kwa kututengua udhu π π π
Kuchungulia mapaja ya kina dada huko veepee!Kwanini mkuu?
Ni utafiti usio rasmi
.........pale mdada anapokuwa na mapaja personal.
Sina picha naogopa TCRA.