Burure
Member
- Jul 25, 2024
- 42
- 96
Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi
Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini
1. Ugumu wa Maisha
Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii biashara kutokana na kutokuwa na pesa za kujikimu wanapokuwa vyuoni hii ni kwa wale waliokosa Boom..hivyo hupelekea kuingiza ili kuweza kupata Pesa ambayo inamuwezesha kujihudumia pindi anapokuwa chuoni hapo
Pamoja na kutoka katika familia za kimaskini hivyo wazazi wao wanashindwa kuwapatia pesa za kutosha na hivyo hujikuta wanaenda kujiuza.
2.Tamaa za Maisha na kufuata mikumbo kutoka kwa Marafiki
Dada zetu wengi walio vyuoni hujiingiza kwenye biashara hizo kutokana na msukumo kutoka kwa binti wenzake walioanza kabla yake hii hutokea sana kwa wale mabinti wanaokaa hostel au waliopanga chumba kimoja...pia wanawake kiasili wameumbwa kutokubali kushindwa (wivu) pamoja na kupendana kushindana na hivyo hujiingiza kwenye masuala hayo ili wapate pesa za kunununua simu nguo au kuishi sehemu ya gharama ya juu kwa lengo la kumpita mwenzake au kumtamanisha mwanamke mwenzake.
3.Ongezeko la wanaume wanahitaji huduma hiyo (Wateja)
Wanaume wengi wamekuwa wakipenda kwenda sehemu za starehe na baada ya kumaliza kupata vinywaji wanachukua wanawake waliwakubali na kwenda nao kufanya mapenzi na mwisho wanawalipa (one night stand) kutokana na ongezeko la wateja na jamii kwa ujumla kubariki hivyo vitendo sasa umekuwa kawaida kwa Mwanaume kunununu Mwanamke kwa ajili ya kufanya mapenzi
Mwisho ila sio kwa umuhimu,
Sasahivi dada zetu wamebariki kuingiliwa kinyume na maumbile na wanasema kutofanya hivyo ni ushamba pia hata vijana wengi (Wanaume) wameshaanza michezo hiyo na jamii inaona kawaida na hata serikali hatuoni ikikemea ipasavyo zaidi ya kuweka sheria hewa ambayo hadi sasa hatujaona Mwanaume akihukumiwa kwa kosa la kuingiliwa au kumfanya Mwanaume mwenzake kinyume na maumbile
Nawaacha na swali Moja
Watanzania kama Taifa tunazionaje familia zetu za miaka 1000 mbele?
Wako Mtiifu,
Katika ujenzi wa Taifa,
Burure.