Wadada wote mnaosumbuliwa na sisi "me" njooni huku niwaambie kitu

Mkuu huyu THT ni KE, miaka ya zamani kidogo alikuwa bae wangu.Ebu acha kutishika...Komaa hadi upate unachotaka!

Boss Mimi ndiye nile makombo yako[emoji57]
NO!!
Mbaya zaidi ni mtu wa mara sijui ni mkurya si atanitwanga.
Cc THT
 
Boss Mimi ndiye nile makombo yako[emoji57]
NO!!
Mbaya zaidi ni mtu wa mara sijui ni mkurya si atanitwanga.
Cc THT
Wewe si ulimwita PM kujaribu kama ameelewa somo lililotolewa na mleta mada?...sikujua kama una maanisha hivyo,...BTW haishiwagi ladha, huyo mtoto ana tamu nzuri mno....kama unataka mizigo mipya, nijulishe mimi ndio dalali.
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mkuu nipe tu mzigo mpya dalali wangu maana huo sikujua Kama ni used, mpaka ww umeukulaaa!!!!
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mkuu nipe tu mzigo mpya dalali wangu maana huo sikujua Kama ni used, mpaka ww umeukulaaa!!!!
Huyo THT niliachana naye baada ya kuniambia Mapenzi na hadi ndoa,...possibly bado atakuwa na lebo yake....Anyway ngoja nikutumie sample utakayoona inafaa nijulishe.
 
sasa ujasiri si ndo kama huo
Lol, bora hapa jf tunatumia ID fake, sijui we mwanamke wa kikurya ungenichinja kwa panga la aina ganiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ha ha pole sana wa mkoani ukija dar utajua yote hayo
kaka kukaa dar es salaam siyo ndo kukaa ulaya...

na si kila mtu asiyejua hilo neno lako, si kuwa hakai dar es salaam , nikimaanisha kuwa si kila mkaa dar basi maneno yote atayajua...

ungenitukana tusi lingine si hilo...

karibu mikocheni B jirani kabisa na kanisa la rwakatale...ndo kwangu....ukiwa na swali karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…