Wadai na wadaiwa tukutane hapa

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Unadai au unadaiwa uje hapa, bila kificho sema tu unamdai nani kiasi gani akisoma hapa ajue anadaiwa na anapaswa kulipa.

Mdaiwa usiogope kumwambia (mchane) jamaa anaekudai hapa kama utamlipa au asahau tu kwa maisha haya akija akisoma ajue moja.

Uzi wa Wadeni (wadai na wadaiwa).

Cc Zero iq
 
utu wake ni zaidi ya deni ninalomdai
 
nadaiwa songesha 25,000/=
M pawa 45,000/=

kwa kweli cjui lini ntawalipa lbd mtu atume hela kimakosa awe amenisaidia[emoji23][emoji23]
Taja namba nitume kwako kimokasa sasa hivi.
Niliwahi kuwa na mkopo wa songesha aisee yule jama alinipiga mikwara sio ya nchi hii, kesho yake nililipa deni na kuvunjilia mbali line yao ya voda.
 
Taja namba nitume kwako kimokasa sasa hivi.
Niliwahi kuwa na mkopo wa songesha aisee yule jama alinipiga mikwara sio ya nchi hii, kesho yake nililipa deni na kuvunjilia mbali line yao ya voda.

mi ata hawanibabaishi na laini yao nmesajili kwa alama za vidole

nakutajia sasa hivi yaani
 
Ninadai 590,000/=
Nadaiwa 28,000/=

Ninayemdai sijui kama anapita huku ila nimeshasamehe. Maana simkumbushi na hata asiponilipa sitamdai tena ila majuzikati alitaka nimkopeshe tena 10,000/= nikabaki nacheka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kama Mimi, nadai 300,000/= , nikiidai naonaekana mbaya halafu juzi anaomba pia nimkopeshe 10,000/= eti amekwama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…