Wadai na wadaiwa tukutane hapa

Nadai 2m kasoro dsm mteja anazingua sijui atanipa lini, mwenye uwezo na ujanja ujanja tuyajenge pm pesa ikitoka namtoa kidizaini
 
Ninadai 590,000/=
Nadaiwa 28,000/=

Ninayemdai sijui kama anapita huku ila nimeshasamehe. Maana simkumbushi na hata asiponilipa sitamdai tena ila majuzikati alitaka nimkopeshe tena 10,000/= nikabaki nacheka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungempa tu iyo 10 ili akirudisha akupe kamili 600k bila chenji !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi mdai mtu 150000 akaleta viswahili kibao nikasema poa nikaootezea

Akawa anakuja anaomba tena nimkopeshe nikawa namkumbushia deni langu anaingia mitini

Since then anajua Mimi siwezi mpa hela hata awe na shida vipi sitoi hata shilingi 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…