Toka niliposikia jamaa wa Tala wameshikwa sina amani kabisa maana wakitoka wanata anza na mimi niliyeshindwa kulipa maana hali ni ngumu nimeshindwa kurejesha labda utokee muujiza server yao itaifishwe ili na mimi niwe salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kua na amani tu boss hawana uwezo huo wa kukufikia kwa maana ya resources za kuja kukusanya hilo deni ni kubwa sana.Toka niliposikia jamaa wa Tala wameshikwa sina amani kabisa maana wakitoka wanata anza na mimi niliyeshindwa kulipa maana hali ni ngumu nimeshindwa kurejesha labda utokee muujiza server yao itaifishwe ili na mimi niwe salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kua na amani tu boss hawana uwezo huo wa kukufikia kwa maana ya resources za kuja kukusanya hilo deni ni kubwa sana.
Wanachofanya wana ku threaten kisaikolojia tu. Na wewe naona umejaa kwenye mtego wao huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia ukilipa mkopo Sasa hivi na ukataka kukopa tena app yao inazinguaToka niliposikia jamaa wa Tala wameshikwa sina amani kabisa maana wakitoka wanata anza na mimi niliyeshindwa kulipa maana hali ni ngumu nimeshindwa kurejesha labda utokee muujiza server yao itaifishwe ili na mimi niwe salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naomba mungu washinde na shughuli zao ziendelee maana wamenisaidia Sana kwenye biashara. Zangu ,toka nimeskia hizi habari zenu nikajua hawakopeshi Tena,nikarudisha Deni wanalonidai Kisha nikakopa Tena, nafrahi sanaToka niliposikia jamaa wa Tala wameshikwa sina amani kabisa maana wakitoka wanata anza na mimi niliyeshindwa kulipa maana hali ni ngumu nimeshindwa kurejesha labda utokee muujiza server yao itaifishwe ili na mimi niwe salama
Sent using Jamii Forums mobile app