Wadamanda ndo waliomfanya Ali Kiba Kurudi kwenye Mziki japokuwa Expired Artist

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Tuko njema wadau?

Nazani kila uchao Hawa manguli Wa game lazima watajwe tu tutake tusitake. Hiki kisa ndo kilichonifanya niweke bando niingie JF leo .

Tunakumbuka tiGo Concert show-2015? Wasanii wote walikwea jukwaani isipokuwa wasanii wawili waliwekwa wa mwisho; Diamond Platnumz na Ali Kiba.

Kakwea Kiba kwenye Forum watu walishangiliaaa! Kaja D. Pan-Awards watu walirusha makopo.

Swali: Kwanini?
Jibu: Kaangalie show ya Tigo concert ya mwaka jana. Angalia mbele kabisa kwenye jukwaa mwisho wa mpaka mashabiki kusimama sasa hapo kuna watu ambao ndo chanzo cha Dai kuzomewa!

Ilisemekana hao watu (wadamanda) na Dai walizinguana. Sijajua walizinguana nini!

Hicho ndo kisa cha Ali K kukubaliwa kwenye Game na hao Wadamanda. Na inasemekana hawa wadamanda kila kunakopigwa shoo yoyote h:apo Dar wanaingia bure!

Nadhani mpaka sasa ushawajua Wadamanda.
 
DIAMOND PLATNUMZ anazidi kuwa no 1 in TZ, wengine wanashindana kushika no zilizochini.
 
mkuu acha kabisa kumuanzishiaanzishia thread huyu mpenda mteremko,coz kwa kufanya ivyo ni kumpa kick tu kama anavotaka.......
 
Ivi Ali Kiba unaemzungumzia ni yupi maana naona unatuaminisha kua umaarufu wake kaupatia kwenye tiGO concert and blah blah wakati ali K yupo kitambo sana na ni maarufu muda mrefu achana utumbo wa beef na nani sijui.
Nahisi hii music industry mmeanza kuifuatilia jana.
 
Na siku hiyo ya kuzomea ndio nilizidisha kumshabikia Diamond. Nakumbuka ilikuwa kwa live streaming ilitokea kabisa kuonyesha mchezo ulikuwa ukichezwa alipoimba Diamond bila hata mtu kufikiria mara mbili.

Hawakujua baraka walizomshushia siku hiyo.
 
samahani unazungumzia juu ya nini....???
 

sawa MacMuga, nita kunakshi mrembo, msalimie cinderela
 
Ifike wakati watu waache kumdhalilisha Diamond kwa kumlinganisha na Kiba. Tuwe serious kidogo.
 
Huu uzi nilidhani unanihusu kumbe sijaandikiwa mimi maana sijaelewa hata kidogo naona tIGO KIBA DAI sijui wanamanda!
 
Ningependa kujua jinsia yako mtoa post,ww ni ke au me?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…