kinya JF-Expert Member Joined Feb 20, 2009 Posts 495 Reaction score 71 Oct 21, 2010 #1 wadau leo ccm wamemtuma kijana wao wa kawe kuzungumza kuhusu fursa ya vijana na mustakabadhi wa taifa ndani ya chama.Jamaa wa ccm anasema ufisadi ni suala la mtu binafsi na si chama uhondo zaidi join..
wadau leo ccm wamemtuma kijana wao wa kawe kuzungumza kuhusu fursa ya vijana na mustakabadhi wa taifa ndani ya chama.Jamaa wa ccm anasema ufisadi ni suala la mtu binafsi na si chama uhondo zaidi join..
Somoche JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 6,795 Reaction score 9,143 Oct 21, 2010 #2 Mkurya piwa,ila anaongea ujinga sana,wakurya wanajulikana their patriotic huyu dah njaa mbayaa