Wadau bati gani inafaa kwa nyumba kama sifikii bei ya ALAF?

Wadau bati gani inafaa kwa nyumba kama sifikii bei ya ALAF?

robbyr

Senior Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
129
Reaction score
221
images (2).jpeg

Nipo kwenye hatua za kufunik nyumbani hapa Kilimanjaro ila sasa nimekuwa mdogo sana kwenye ujuzi na usahihi wa bati gani itanifaa au ni bora mbali na ALAF.
Naomba ushauri kwa wazoefu.
Asante
 
Hakuna namna nyingine yoyote zaidi ya kusubiri kama ulivyo jiwekeza kwenye huo ujenzi basi usiwe na haraka weka weka tena ifikie ALAF tu. Wengine ni kanjanja tu utalia kitambo kidogo
 
View attachment 3222292

Nipo kwenye hatua za kufunik nyumbani hapa Kilimanjaro ila sasa nimekuwa mdogo sana kwenye ujuzi na usahihi wa bati gani itanifaa au ni bora mbali na ALAF.
Naomba ushauri kwa wazoefu.
Asante
Tumia Ando roofing

bati chaguo la kwanza alaf, la pili alaf na la tatu alaf, hawa jamaa wako serious sana na product zao. kuna client mmoja nilimshauri sana juu ya hili akanunua kampuni fulani x, baada ya miaka miwili tu bati limepauka halifai, ujenzi ni mara moja tu so ni bora uchangue kitu bora kitakachodumu, japo gharama itakuwa kubwa, kumbuka bure ni gharama zaidi usije juta baada ya mda

by the way niko Kilimanjaro pia nipe kazi ya kupaua chief
 
Mimi nilishauriwa kiboko mkuu na wanaojua hayo mambo japo Bei imepishana kama elf 6 au 8 na alaf kwa bati za rangi
 
Sunbank wana bati viwango na bei Iko chini. Naona wanafanya vizuri na hawana makelele, tenders nyingi za serikali ni mabati yao
 
Back
Top Bottom