Hii ni topic nimeikuta huko Mahusiano na mapenzi. Nimesikitika sana kuona watu walivyokosa maaraifa na upeo. Eti mtu anaamini kujiajiri it is a waste of time. Ndo maana dunia ina matajiri wachache na hapa ndo utaelewa how middle class think about money. https://www.jamiiforums.com/mahusia...naume-walioajiriwa-kuliko-waliojiajiri-2.html