Gentle T, karibu sana JF. Hapa kuna kila kitu utapenda na kutaka kufahamu, you are the one responsible what you want to be at JF. Whether Great Thinker or Great Stinker. Enjoy...
Jirani upo?Huonekani ati.................
Gentle T, karibu sana JF. Hapa kuna kila kitu utapenda na kutaka kufahamu, you are the one responsible what you want to be at JF. Whether Great Thinker or Great Stinker. Enjoy...
Da Asha hujambo?
Nimekubali jirani.............,karibu chapati...Nipo mkuu, wewe ukiita tu mie naitika. Mzima wewe?