Aisee ile ya terehe 05/11/2009 inasikitisha sana. Nategemea atakuwa ameshapata pesa za kutosha kurudi kwao Shinyanga. Misukuma/Minyamwezi akili zetu kwa kweli zinatisha wakati mwingine.
Ya tarehe 03/11/2009 nasikia tena Ngosha anapiga wanawake. Wewe Ngosha utapigaje Mwanamke? Zinakutosha kweli wewe? Utampigaje mtu mzima? Kama kweli unafahamu kupigana, si nenda kwenye ulingo utapigana na ulipwe....... Sasa anataka hadi hela ya kusomesha English.