Wadau hii biashara ya kubet kwenye ligi mbalimbal mnaionaje?

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
245
Reaction score
115
wakuu heshima yenu, kwa sasa bongo kuna kampuni xa muhindi inayojishughurisha na mchezo wa kubet(kamari) kwenye ligi mbali mbali za ulaya. je unauzoefu wa kucheza au kuchezesha? je inalipa? je mchezo huu unachezekaje? je ukitaka juanzisha inatakiwa uwe na mtaji wa sh ngapi?je mchanganuo wake unakuaje? asante kwa yule atakayenipa ushirikiano kwa hili.
 
Sijui imani yako,ila Dini zote zimekataza Kamari.Na kipato chake hakina Baraka za Mungu.utapanda kwa kasi na utashuka kwa kasi zaidi ya hiyo kwa hasira za mungu,mwisho wake mbaya
Samahanini wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…