C Chizy Za kitaa Senior Member Joined Jan 7, 2014 Posts 167 Reaction score 13 Apr 23, 2014 #1 Kutokana na tangazo la wizara kuhusu ualimu naomba mnijuze ni sifa gan ambazo zinatakiwa kujiunga na mafunzo kabilishi ngazi ya chet? na je wengine inabid waombe direct ualimu grade A.?
Kutokana na tangazo la wizara kuhusu ualimu naomba mnijuze ni sifa gan ambazo zinatakiwa kujiunga na mafunzo kabilishi ngazi ya chet? na je wengine inabid waombe direct ualimu grade A.?