Wadau, huu mwezi mimi naona wa ajabu pesa kama hamna hivi mtaani

Ni vyema ukawa specific kuwa ni biashara gani tuweze kukupa mrejesho mahususi
 
Natangaza mitandaoni
Ongeza wigo wa kufanya matangazo afu kuwa na tabia ya kufwatilia wateja walio wahi kulizia bidhaa zako na uwe unawapa update kama Kuna mzigo mpya umeleta inaweza kukusaidia ku boost mauzo
 
Ongeza wigo wa kufanya matangazo afu kuwa na tabia ya kufwatilia wateja walio wahi kulizia bidhaa zako na uwe unawapa update kama Kuna mzigo mpya umeleta inaweza kukusaidia ku boost mauzo

Boss unafanya biashara gan
 
Ko unataka na wengine waseme hamna ili upate furaha haya ni kweli hamna kabisa pesa huu mwezi
 
Ni kwer umekuwa ni mwezi mgumu ata mimi pia kwenye Biashara zangu.
 
Ko unataka na wengine waseme hamna ili upate furaha haya ni kweli hamna kabisa pesa huu mwezi

Sio kila ktu unakaa negative mkuu nimeuliza swali na wapo walionijibu vzuri tu kua positive bas mara moja moja kwa afya
 
Au ni mimi tu na biashara yangu vipi huko wenzangu maana wateja huu mwezi ni wamanati sijawahi experience.
Ndio ukweli May imekua ngumu sanaa sana
Naona ht vijana kwa biashara wanalalamikaa mnooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…