Wadau je anayesomea clinical medicene anaweza kuja kusomea degree ya medicene.?

Wadau je anayesomea clinical medicene anaweza kuja kusomea degree ya medicene.?

Mdau Makin

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
767
Reaction score
207
Wadau nimekuja kwenu leo, kutaka majibu ya maswali yaliyokuwa yananitatiza kwa kipindi kirefu.
Na pia nimeamua kumwaga hoja hii mbele yenu nikiamini kabisa kuwa hapa ni mahala sahihi kwa kila mtanzania anayetaka kupata majibu ya maswali yake.
Hongereni kwa hilo,

Binafsi nimuhanga katika swala zima la Elimu, na nitafurahi iwapo swali lililokuwa likinisumbua kwa mda mrefu likipata ufumbuzi hapa.

SWALI:
-Je kuna utofauti gani kikazi,idara ,malipo kwa mtu aliyesomea Clinical medicene Vs Mid wife Nursing.?

-Je aliyesoma Clinical medicene anaruhusiwa kufanya kazi hospitali ya rufaa?

-Je kati ya kozi hizo mbili ipi ni bora kupita nyngne, na je ipi ni ngumu sana kuisoma,?

Nawasilisha,
Karibuni.
 
Back
Top Bottom