wadau kisayansi nini hasa kinasababisha nguo ya ndani kuchafuka sehemu hiyo ?

Pana unyevunyevu kwa maana vimiminika kadhaa kama mkojo na shahawa hupitia kwenye viungo vya sehemu hiyo.
 
Hata za kike nazo huchafuka sehemu hiyo. Afadhali ya kiume uchafu hutoka ukifua, ila ya kike ni shughuli pevu kusugua, uchafu hukaukiana na kuwa kama gundi ngumu iliyonata na kukauka, huchora ramani ya ile kitu
 
Kwa wanaume ukidindisha kidogo tu lubricant inatoka, ule uteute mwembamba hutoka na kulowanisha hapo, baadaye hukaukiana, ukifua huacha alama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…