Kile kituo cha "Sinza Lego"...Yani kama unatoka Mataa Shekilango kuelekea Sinza, Mita chache tu upande wa kushoto kuna njia inaingia...Pale kuna fremu zimejipanga zote zinauza kitomoto balaa.
Ukiipiita rombo? Then hilo chocho?Kile kituo cha "Sinza Lego"...Yani kama unatoka Mataa Shekilango kuelekea Sinza, Mita chache tu upande wa kushoto kuna njia inaingia...Pale kuna fremu zimejipanga zote zinauza kitomoto balaa.
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Kile kituo cha "Sinza Lego"...Yani kama unatoka Mataa Shekilango kuelekea Sinza, Mita chache tu upande wa kushoto kuna njia inaingia...Pale kuna fremu zimejipanga zote zinauza kitomoto balaa.
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Mbichi jau sanaNi nzuri ila watu wakiwa wengi wanauza kutengeneza mbichimbichi
Mi pale nilikula juzi juzi, ilikuwa safi kabisa.Ni nzuri ila watu wakiwa wengi wanauza kutengeneza mbichimbichi