Barrick wana mfumo kwamba IF YOU ARE NOT CONTACTED WITHIN 30 DAYS AFTER APPLICATION KNOW YOU ARE UNQUIRIFIED.
sasa mkuu labda hao jamaa wa NIDA nao wako sawa na Barrick japo mabo yao yanaonekana hayako wazi,,,pole jaribu kutafuta kazi mahali kwingine,...