Wadau kuna yeyote alishawahi kuwa refunded kutoka ebay kwenye nmb account?

Mungi2304

Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
31
Reaction score
9
Wakuu habari!
Hapo juzi tar 22/12/19 nilinunua mzigo ebay, lakini baadaye tukashindwana na seller gharama za usafirishaji kwa dhl, Nika request kucancel order.
Bila shida seller alicancel order na kunitumia email ya kunirefund na wanasema inaweza chukua mda pesa kuingia kwenye account yangu.
Nilitumia nmb mastercard kwa kufanya malipo.

Wadau kuna yeyote alishawahi kuwa refunded kutoka ebay kwenye nmb account?
Kama ndiyo alitumia njia gani? Au waliingiza kwenye account ya benki automatically.
Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran sana ndug, wao wametuma kwenye email kwa nimekuwa refunded, nitawajuza vp ebay. Procedure za kuwajulisha ebay ni zip ndg?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Relax inachukua siku3 mpaka 21 pesa kurud kwnye account yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…