Wadau kwa anaejua hizi SARAFU

Perfectz

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
9,045
Reaction score
28,216
Husika na kichwa cha Habari hapo juu,naombeni kujuzwa kuhusu hizi sarafu je zina thamani gani, ni za wapi na nitazitumia wapi.
Kwa atakaesaidia tutagawana pasu kwa pasu ninazo kama 30 hivi
 
Kwanza navyojua pesa ya sarafu haina thamani kubwa ni pesa za kawaida sana halafu pesa kama hiyo itakusumbua kubadilisha si dhani kama sarafu wanabadilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…