Wadau kwa sasa Korean dramas mnazipakua wapi?

Wadau kwa sasa Korean dramas mnazipakua wapi?

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,364
Reaction score
2,001
Kwa miezi kadhaa sasa Site za Dramacool hazipatikani. tafadhali wadau nipeni chimbo jingine la kudownload series za kikorea kwa wepesi kama ilivyokuwa Dramacool.
Ahsanteni....🙏🙏
 
Tumia DRAMACOOL ila ukiwa na IDM kwenye computer ni nzuri zaidi
 
Kwa simu google kimoitv au nkiri utadownload bila shida tatizo tu matangazo kibao
 
Back
Top Bottom