Wadau leo jangwani panapitika?

Wadau leo jangwani panapitika?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Salaam kwenu wakuu.

Nauliza tu wale mliowahi mjini leo, je daraja la jangwani limeshafunguliwa?

Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kanisa la Masanja liko pembeni ya klabu ya Yanga pale jangwani lakini maji huwa hayafiki!
Jangwani ni njia ya maji kupeleka baharini salenda ,Kajima na planners wa enzi hizo za mwinyi walikuwa vilaza,walishindwa kabisa kudesign barabara pale jangwani.

Mkuu kama umezaliwa miaka ya 2000 hauwezi kuijua KAJIMA.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Jangwani ni njia ya maji kupeleka baharini salenda ,Kajima na planners wa enzi hizo za mwinyi walikuwa vilaza,walishindwa kabisa kudesign barabara pale jangwani.

Mkuu kama umezaliwa miaka ya 2000 hauwezi kuijua KAJIMA.
Ninaweza kukuonyesha hata ulipokuwepo uwanja wa Simba na Pan African pale jangwani.

Enzi hizo barabara ikikarabatiwa na Mecco.

Unazungumzia Kajima waliokuja kujenga Salender wakati hata Mbowe ameshastaafu udj?!!

Wewe kweli dogo!
 
Hahahaa nimekukubali ndio maana nikatoa angalizo ,kweli tunaongea lugha moja MECCO na KAJIMA makampuni kongwe kabla ya MAYANGA kuja Kutake OVER 😀😀😀😀😀.
 
Salaam kwenu wakuu.

Nauliza tu wale mliowahi mjini leo, je daraja la jangwani limeshafunguliwa?

Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
Jana ulisema unafanya kazi za ndani kwa wahindi posta na unakaa maeneo ya Bunju.
Njia ya Posta Bunju inahusiana vipi na Jangwani?
 
Back
Top Bottom