johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Linapitika ww lala tu siumekuja mjini kulalaSalaam kwenu wakuu.
Nauliza tu wale mliowahi mjini leo, je daraja la jangwani limeshafunguliwa?
Mungu awabariki.
Maendeleo hayana vyama!
Ahsante kwa taarifa mkuu!Linapitika ww lala tu siumekuja mjini kulala
Wewe hauko mjini uko machame!Flyover zinapitika.Nenda kapite katika flyover
Mwambie masanja akalale jangwani kwenye daraja la mita 300 leo.Salaam kwenu wakuu.
Nauliza tu wale mliowahi mjini leo, je daraja la jangwani limeshafunguliwa?
Mungu awabariki.
Maendeleo hayana vyama!
Kanisa la Masanja liko pembeni ya klabu ya Yanga pale jangwani lakini maji huwa hayafiki!Mwambie masanja akalale jangwani kwenye daraja la mita 300 leo.
Jangwani ni njia ya maji kupeleka baharini salenda ,Kajima na planners wa enzi hizo za mwinyi walikuwa vilaza,walishindwa kabisa kudesign barabara pale jangwani.Kanisa la Masanja liko pembeni ya klabu ya Yanga pale jangwani lakini maji huwa hayafiki!
Ninaweza kukuonyesha hata ulipokuwepo uwanja wa Simba na Pan African pale jangwani.Jangwani ni njia ya maji kupeleka baharini salenda ,Kajima na planners wa enzi hizo za mwinyi walikuwa vilaza,walishindwa kabisa kudesign barabara pale jangwani.
Mkuu kama umezaliwa miaka ya 2000 hauwezi kuijua KAJIMA.
Hahahaa nimekukubali ndio maana nikatoa angalizo ,kweli tunaongea lugha moja MECCO na KAJIMA makampuni kongwe kabla ya MAYANGA kuja Kutake OVER πππππ.Ninaweza kukuonyesha hata ulipokuwepo uwanja wa Simba na Pan African pale jangwani.
Enzi hizo barabara ikikarabatiwa na Mecco.
Unazungumzia Kajima waliokuja kujenga Salender wakati hata Mbowe ameshastaafu udj?!!
Wewe kweli dogo!
Jana ulisema unafanya kazi za ndani kwa wahindi posta na unakaa maeneo ya Bunju.Salaam kwenu wakuu.
Nauliza tu wale mliowahi mjini leo, je daraja la jangwani limeshafunguliwa?
Mungu awabariki.
Maendeleo hayana vyama!
Jana ulisema unafanya kazi za ndani kwa wahindi posta na unakaa maeneo ya Bunju.
Njia ya Posta Bunju inahusiana vipi na Jangwani?
Kwani Magufuli hajajenga flyover Machame?Wewe hauko mjini uko machame!
Pesa za nchi hii zimechezewa vya kutosha. Ile karakana pale jangwani Ni wastage of taxpayer's money.Mwendo Kasi zinachana mawimbi Tu hapo jangwani.