Wadau Ligi Kuu Uingereza waafikiana ligi kuu msimu huu 2019/20 ni LAZIMA ikamilishwe baada ya tarehe 30 April 2020

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,203
Reaction score
23,027
Habari ndiyo hiyo.

Wameafikiana kuwa michezo iliyobaki itakuwa ikichezwa kila hali inaporuhusu hadi pale yote itakapokamilika.

Hii ina maana kuwa bila kujali ligi itahitimishwa lini, majogoo wa pale Merseyside (Liverpool Football Club), watatawazwa kuwa machampioni wakishinda mechi 2 tu kati ya zilizobaki.

Hongereni sana in advance fans wa Liverpool Football Club.
 
Sisi wengine hili la ubingwa muhimu kuliko mengine...miaka 30 sio mchezo
kuna waliosubiri kuzidi 30 years though.
hawa hapa.....

20200319_190008.jpg
 
wavunje na rekodi ya points 100 aliyoweka PEP
 
Mechi pamoha na Matokeo ya Ligi yafutwe tuanze Upya!
 
Wazungu sio wajinga kiasi hicho mkuu. Watu wame invest na kujitoa throughout the season wewe uje ufute league tu kijinga? Labda bongo ila sio Ulaya.
 
Wamewekeza Pesa kwa kukubali Masharti ya Sheria yaliyokuwepo hivyo Sheria ndio itaamua Mshindi anavyopatikana, kama huku Chini wameanza kufanya Mchakato kama huu nadhani hata Ligi Kuu pia inaweza kufuata Nyao!
 
Habari ndiyo hiyo.

Wameafikiana kuwa michezo iliyobaki itakuwa ikichezwa kila hali inaporuhusu hadi pale yote itakapokamilika.

Hii ina maana kuwa bila kujali ligi itahitimishwa lini, majogoo wa pale Merseyside (Liverpool Football Club), watatawazwa kuwa machampioni wakishinda mechi 2 tu kati ya zilizobaki.

Hongereni sana in advance fans wa Liverpool Football Club.
Never happens
 
Source?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa ya Mara ya mwisho walipokutana Ni kuwa watakutana tarehe 30 April kuamua kuhusu ligi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndiyo hiyo.

Wameafikiana kuwa michezo iliyobaki itakuwa ikichezwa kila hali inaporuhusu hadi pale yote itakapokamilika.

Hii ina maana kuwa bila kujali ligi itahitimishwa lini, majogoo wa pale Merseyside (Liverpool Football Club), watatawazwa kuwa machampioni wakishinda mechi 2 tu kati ya zilizobaki.

Hongereni sana in advance fans wa Liverpool Football Club.
Hadi uk wadau wa liva wana hofu wakikosa hii mpaka miaka 30 tena.
 
Back
Top Bottom