Wazungu sio wajinga kiasi hicho mkuu. Watu wame invest na kujitoa throughout the season wewe uje ufute league tu kijinga? Labda bongo ila sio Ulaya.Mechi pamoha na Matokeo ya Ligi yafutwe tuanze Upya!
Wazungu sio wajinga kiasi hicho mkuu. Watu wame invest na kujitoa throughout the season wewe uje ufute league tu kijinga? Labda bongo ila sio Ulaya.
Ani watapewaa ubingwa wakishnda mech mbil jeee wanaoxhuka daraja wanaxhukajeee sasa wakati waoo mech za mwixho ndozinaamua upi anaxhuka na upi anabaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Never happensHabari ndiyo hiyo.
Wameafikiana kuwa michezo iliyobaki itakuwa ikichezwa kila hali inaporuhusu hadi pale yote itakapokamilika.
Hii ina maana kuwa bila kujali ligi itahitimishwa lini, majogoo wa pale Merseyside (Liverpool Football Club), watatawazwa kuwa machampioni wakishinda mechi 2 tu kati ya zilizobaki.
Hongereni sana in advance fans wa Liverpool Football Club.
Source?Habari ndiyo hiyo.

Taarifa ya Mara ya mwisho walipokutana Ni kuwa watakutana tarehe 30 April kuamua kuhusu ligiHabari ndiyo hiyo.
Wameafikiana kuwa michezo iliyobaki itakuwa ikichezwa kila hali inaporuhusu hadi pale yote itakapokamilika.
Hii ina maana kuwa bila kujali ligi itahitimishwa lini, majogoo wa pale Merseyside (Liverpool Football Club), watatawazwa kuwa machampioni wakishinda mechi 2 tu kati ya zilizobaki.
Hongereni sana in advance fans wa Liverpool Football Club.
Hadi uk wadau wa liva wana hofu wakikosa hii mpaka miaka 30 tena.Habari ndiyo hiyo.