Wadau Masterbation ni dawa ya mke asiyependa Kufanya tendo la ndoa?

Wadau Masterbation ni dawa ya mke asiyependa Kufanya tendo la ndoa?

Iboho

Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
19
Reaction score
8
Wadau kama nilivyoeleza mke wangu hapendi tendo la ndoa mimi nimepata solution fulani ya kufanya masterbation nijiridhishe ili ninapokutana nay basi namalizia tu nakuwa nimetosheka kiasi fulani
 
Ndugu acha kabisa unajiumiza wakat mkeo yupo?unalegegeza misul ya uume.kama ulikuwa unakwenda goli 3 bac 1day utaona unakwenda 1.kaa nae zungumza nae.
 
Wadau kama nilivyoeleza mke wangu hapendi tendo la ndoa mimi nimepata solution fulani ya kufanya masterbation nijiridhishe ili ninapokutana nay basi namalizia tu nakuwa nimetosheka kiasi fulani

usijitese tafuta nyumba ndogo.
 
sixhangai xan cos mtaan kwe2 yupo mwanajexh naye anafanya hako kamchezo kixa mkewe ni mchungaj yaan hata haon noumer simu yake imejaa picha za ngono bt i think dat is nat a soln cha msing kaa nae ujue nn tatizo.
 
Back
Top Bottom