Wadau matokeo J.mosi hii kwa wale wa Form 4

Status
Not open for further replies.
Waalimu wanasubiri ajira baada ya kudanganywa na Waziri, wanafunzi wanasubiri matokeo ambayo wanaamini serikali inayoua Elimu itawapa alama.
Punguza munkari, kanuni kuu ni "utavuna ulichopanda".
 
bado sana mdau 2lia kwanza labda mwez wa 3 yatakua tayar
 
Waalimu wanasubiri ajira baada ya kudanganywa na Waziri, wanafunzi wanasubiri matokeo ambayo wanaamini serikali inayoua Elimu itawapa alama.
Punguza munkari, kanuni kuu ni "utavuna ulichopanda".

Najiamin mkuu but hakna shda ntasubir lakin kuna habar znasma kuw yashapangwa!
 
Matokeo ya kidato cha nne 2013 yatatoka mwezi huu, kwa sababu mwisho wa usajili wa PC ni february 28 kama Necta ilivyotangaza. Lazima yatoke mapema ili wanafunzi wajue kama watarudia mtihani au vipi
 
Matokeo ya kidato cha nne 2013 yatatoka mwezi huu, kwa sababu mwisho wa usajili wa PC ni february 28 kama Necta ilivyotangaza. Lazima yatoke mapema ili wanafunzi wajue kama watarudia mtihani au vipi

asante mkuu bt source
 
nimesikia TBC leo wanasema wazazi wajiandae...........
 
hili tangazo linaweza kukupa picha matokeo yatakuwa lini..?
 
Matokeo ya kidato cha nne 2013 yatatoka mwezi huu, kwa sababu mwisho wa usajili wa PC ni february 28 kama Necta ilivyotangaza. Lazima yatoke mapema ili wanafunzi wajue kama watarudia mtihani au vipi Na ivyo ndivyo ilivyo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…