Mshikaji halafu kwa mada kama hizi utalalamika ukifutiwa thread zako?Wadau:mda huu nimetoka kununua UNGO anaejua taratibu za kupaa tafadhari.
... Kama mda husikaa hapo juu kuna safari imetokea ya ghafla na inanibidi nifike sehemu ile mapemaa iwezekanavyoo. Sasa nimeona ninue UNGO ili kurahisisha safari. Naona safari za basi ntachelewa kufika
.tafadhari kwa anaejua taratibu Za urukaji tujurishane. . maana nasikia ungo ni usafiri wa haraka sana na usio na mashaka sana. Ni sawa na alliens ships
Tuvipende vya kwetu. Tanzania moja. Sisi wote ni wamoja.
....