Wadau mimi nasumbuliwa na mbavu zinanibana sana na siwezi kupumua vizuri

Nuhu Juliani

Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
11
Reaction score
7
Wadau me nasumbuliwa na mbavu zinanibana sana na siwezi kupumua vizuri nimepiga x-ray hakuna tatizo muda mwingine kiungulia kikali na tumbo kujaa gesi na kichomi upande wa kushoto mbavuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…