Wadau mje mtujuze

tembojike

Member
Joined
Oct 15, 2014
Posts
30
Reaction score
5
Je ni kwa Nini kuna siku mwanamke huyohuyo kuna siku anakuwa wa baridi siku zingine wa moto, NN kinasababisha
 
hahaha! hili swali linanichekesha sana.. wa baridi au wa moto wapi??
 
Inategemea na hali ya hewa ya mda huo na vyakula alivyotumia muda huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…