Wadau mliopo dar naombeni mnijuze bei za laptop ambazo siyo used.....!!

cantonna

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
1,120
Reaction score
439
jamani naomben mnijuze bei ya laptop ambayo inauzwa kwa bei ya chin?je nkiwa na lak 4 na nusu naweza pata laptop dukan??tafadhar msaada kwa anayejua!!
 
mkuu laptop znatofautiana bei,kuna hiz min znaanzia lak3 na 80 akat kubwa ambazo utazifurahia ni kuanzia lak5 mpk milion na kadhaa,ila pia inategemeana na sehem uliyoenda kununua,bei za mliman city ni ndefu ukilinganisha na za kariakoo,but kama utaweza nenda kariakoo utapata kwa bei nzur ila pia hakikisha wanakupa ricit na guarantee
 
jamani naomben mnijuze bei ya laptop ambayo inauzwa kwa bei ya chin?je nkiwa na lak 4 na nusu naweza pata laptop dukan??tafadhar msaada kwa anayejua!!

400,000/ Laptop mpya haya
 
Inategemea unaitaji yenye ubora gani, kuna vitu kama ram size, cpu size , intel core n.k ndio vinatoa uhalisia wa gharama,
ila ukitaka ambayo ni standard na utaipenda andaa kama la 5 mpaka 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…