regan bonge
Member
- Oct 28, 2013
- 9
- 0
mm ni continious student nko mwaka wa pili. nliomba mkopo ile first year nikawa nmepata bt wakati wa kuapdate mkopo kuingia mwaka wa pili nliapdate toka ule mwez wa 5 bt Juz kati hivi kna majina yaliyotolewa na bodi ya wanafunz ambao hawakuapdate (hawakuomba mkopo) kwa continous students..afu jna langu lilikuwemo kweny list. nlichokifanya nlienda na ile hard copy nliyoprint wakat wa kuapdate kwa loan officer wa chuon kwetu akaniambia nisubir hadi tar 21 mwez wa 10 mambo yatakuwa fresh bt gafla kabla hta tar 21 haijafika nikaitwa chuon inadaiwa ile hardcopy nlioipeleka hazifanan na nyingne so inamistake. nmeenda bodi wao wanadai hawana jinsi ya kunisaidia..wadau naomben sana msaada kwa hili nifanye nn kwa maana nmewaambia nyumban kna uwezekano mwaka huu nisipate mkopo wameshtuka sana maana ni gafla mno afadhal kama taarifa zingetolewa mapema ningejua hata jinsi ya kujipanga...naomben msaada wenu wadau nifanye nn??