wadau mm naombeni msaada kuhusu maswala ya Helsb...

regan bonge

Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
9
Reaction score
0
mm ni continious student nko mwaka wa pili. nliomba mkopo ile first year nikawa nmepata bt wakati wa kuapdate mkopo kuingia mwaka wa pili nliapdate toka ule mwez wa 5 bt Juz kati hivi kna majina yaliyotolewa na bodi ya wanafunz ambao hawakuapdate (hawakuomba mkopo) kwa continous students..afu jna langu lilikuwemo kweny list. nlichokifanya nlienda na ile hard copy nliyoprint wakat wa kuapdate kwa loan officer wa chuon kwetu akaniambia nisubir hadi tar 21 mwez wa 10 mambo yatakuwa fresh bt gafla kabla hta tar 21 haijafika nikaitwa chuon inadaiwa ile hardcopy nlioipeleka hazifanan na nyingne so inamistake. nmeenda bodi wao wanadai hawana jinsi ya kunisaidia..wadau naomben sana msaada kwa hili nifanye nn kwa maana nmewaambia nyumban kna uwezekano mwaka huu nisipate mkopo wameshtuka sana maana ni gafla mno afadhal kama taarifa zingetolewa mapema ningejua hata jinsi ya kujipanga...naomben msaada wenu wadau nifanye nn??
 
Pole sana kijana. Kama hukuchakachua hiyo copy, wabane HESLB. Nenda kwa directors na siyo wale wa chini. Shida yenu wanachuo mko 'social misfit' hamkumbushani?
 
Pole sana kijana. Kama hukuchakachua hiyo copy, wabane HESLB. Nenda kwa directors na siyo wale wa chini. Shida yenu wanachuo mko 'social misfit' hamkumbushani?

Asante sana ndugu ntafanya hivyo.
 
Asante sana ndugu ntafanya hivyo.

Pole. Nakushauri usife moyo, ukilegea hutopata. Fahamu kwamba Nchi hii, bila kupiga miayo hakuna anayefahamu kuwa unanjaa. Fika uongozi wa juu chuoni kwako na loan board, ikibidi andika barua, weka nakala ya fomu then wape. MUHIMU WEKA KUMBUKUMBU KWA kila unalofuatilia
 
Hapana kijana lazma utakua umekosea ki2 wkt unaupdate au hukukamilisha updation yenyewe na ukaishia nusu ila ile ni system inaweza kuleta era mda wowote 2 lakin lazma ww ndo una makosa ndo mana wanashndwa kukusaidia!!
 
Hapana kijana lazma utakua umekosea ki2 wkt unaupdate au hukukamilisha updation yenyewe na ukaishia nusu ila ile ni system inaweza kuleta era mda wowote 2 lakin lazma ww ndo una makosa ndo mana wanashndwa kukusaidia!!

Yaan mwanzon nlifikiri npo sahihi lakin ni kwel nilikosea kwani form yangu umetofautiana na za wengne walioupdate so inaonekana kama nilishia njian..bt kwa hapo naweza pata msaada au ndo nianze kuandika barua ya kupostpon mwaka tu??
 
yaelekea fomu uliyojaza ulitumia lugha ama maneno ya aina hii uliyoandika hapa ndio maana ikaonekana kwamba haifanani. Jaribu kutafuta fomu nyingine ujaze kwa lugha/maneno yanayoeleweka na kufanana na wengine.

ningekusaidia lkn staki
 
yaelekea fomu uliyojaza ulitumia lugha ama maneno ya aina hii uliyoandika hapa ndio maana ikaonekana kwamba haifanani. Jaribu kutafuta fomu nyingine ujaze kwa lugha/maneno yanayoeleweka na kufanana na wengine.

ningekusaidia lkn staki

ok asante nashukuru.
 
Poleni wote tuliokosa mkopo,mimi ni kiongozi wa lile kundi la watu thelathini na 32,tuliokutana na kamati ya maendeleo ya jamii ya Mwenyekiti Mh.Magreth Sitta kuomba na kuishinikiza serikali kutupatia ada ya chuo,tuliangaika sana wiki nne barabarani ila mwishowe ikatolewa bilion 3.1,huwezi amini na juhudi zote jina langu halpo kwa wategemewa wa mkopo,hivyo basi kwa moyo mpya nimeamua kuanzisha harakati nyingine ambayo itawashilikisha wakuu wa nchi hii hadi Mh.Rais,ninaimani sana bodi wanafanya mambo kinyume hawako kwa masilahi ya wanafunzi na umma wapo kwa masilahi yao,hivyo basi kwa yeyote anayejua kuwa suala la yeye kukosa mkopo kwake ni hujuma na hajalidhka na maamuzi ya bodi mfano kupewa sababu feki kama kumaliza shule miaka mitatu nyuma na sio kweli,kutuma fomu ya maombi bodi na yeye kuambiwa hajatuma na wakati una list ya EMS,kutukanwa na wafanyakazi wa bodi kwa aina yoyote ile tafadhali tuwasiliane kupitia 0712177649,tushrikiane kwa ili.HAKI INACHELEWESHWA ILA HAIDHULUMIWI.
 
Ndugu thank very much for ur advice maana nmeufanyia kaz na nimefanikiwa
 

Nakushukuru sana kk kwa ushauri wako nmeufanyia kazi na nimefanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…