Nimefanya kazi sehemu tofauti tofauti kwenye sekta binafsi (Kampuni).
Nimekutana na mengi kwenye makampuni. Kwa wanaitafuta ajira/ mliopo kazini kuwa makini na yafuatayo;
Nimekutana na mengi kwenye makampuni. Kwa wanaitafuta ajira/ mliopo kazini kuwa makini na yafuatayo;
- Kampuni nyingi zisizotoa mikataba ya kazi nyingi ni wadhurumaji.
- Kuwa makini na kampuni changa hasa za waswahili. Utaishia kupigwa kitu kizito.
- Husikubali kupumbazwa kwa kupewa cheo kinachokufanya kuwa kama mmojawapo wa wamiliki wa kampuni wakati hufaidiki kimaslahi. Utaishia kutumika.
- Pigania haki zako (kazini) husikubali maneno/ahadi tamu za mwajiri wako zisizo-tekelezeka.